-
Kutoka 33:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Utukufu wangu utakapokuwa ukipita, nitakuingiza kwenye shimo ndani ya mwamba, nami nitakukinga kwa mkono wangu mpaka nitakapopita.
-