-
Kutoka 34:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Basi Musa akachonga mabamba mawili ya mawe kama yale ya kwanza, akaamka asubuhi na mapema na kupanda Mlima Sinai, kama Yehova alivyomwamuru, akayabeba yale mabamba mawili ya mawe mikononi mwake.
-