-
Kutoka 35:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Na wote waliokuwa na nyuzi za bluu, sufu ya zambarau, kitambaa cha rangi nyekundu, kitani bora, manyoya ya mbuzi, ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na ngozi za sili, wakaleta vitu hivyo.
-