-
Kutoka 36:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Kisha akatengeneza vitanzi vya nyuzi za bluu kwenye upindo wa kitambaa cha mwisho. Naye akafanya vivyo hivyo kwenye upindo wa kitambaa kile kingine cha mwisho mahali ambapo vingeunganishwa.
-