-
Kutoka 36:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Akatengeneza vitanzi 50 kwenye kitambaa kimoja na vitanzi vingine 50 kwenye upindo wa kitambaa cha pili ili vitanzi hivyo vielekeane vinapounganishwa.
-