-
Kutoka 36:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Hatimaye, akatengeneza vibanio 50 vya dhahabu na kuviunganisha vitambaa hivyo pamoja kwa vibanio hivyo, basi hema la ibada likawa na kitambaa kimoja kizima.
-