-
Kutoka 36:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Halafu akatengeneza vitanzi 50 kwenye upindo wa kitambaa cha kwanza, kwenye kipande cha mwisho kabisa, na vitanzi 50 kwenye upindo wa kitambaa cha pili, mahali vinapounganishwa.
-