-
Kutoka 36:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Katika pembe zote mbili kulikuwa na viunzi viwili kuanzia sehemu ya chini mpaka sehemu ya juu, kwenye pete ya kwanza. Hivyo ndivyo alivyotengeneza ile mihimili miwili ya pembeni.
-