-
Kutoka 36:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Kisha akalitengenezea nguzo nne za mshita na kuzifunika kwa dhahabu, akatengeneza pia kulabu za dhahabu na vikalio vinne vya fedha kwa ajili ya nguzo hizo.
-