Kutoka 36:38 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 38 na pia nguzo zake tano na vibanio vyake. Akafunika kwa dhahabu sehemu ya juu ya nguzo hizo pamoja na kulabu* zake, lakini vikalio vyake vitano vilikuwa vya shaba.
38 na pia nguzo zake tano na vibanio vyake. Akafunika kwa dhahabu sehemu ya juu ya nguzo hizo pamoja na kulabu* zake, lakini vikalio vyake vitano vilikuwa vya shaba.