-
Kutoka 37:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Kila tawi lilikuwa na vikombe vitatu vyenye umbo la maua ya mlozi, na kila kikombe kilikuwa na ua na tumba lake. Hivyo ndivyo matawi hayo sita yalivyotengenezwa kwenye shina la kinara hicho cha taa.
-