Kutoka 38:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 Nguzo zake nne na vikalio vyake vinne vilikuwa vya shaba. Kulabu zake zilikuwa za fedha, na sehemu za juu za nguzo hizo pamoja na vitanzi* vilifunikwa kwa fedha.
19 Nguzo zake nne na vikalio vyake vinne vilikuwa vya shaba. Kulabu zake zilikuwa za fedha, na sehemu za juu za nguzo hizo pamoja na vitanzi* vilifunikwa kwa fedha.