-
Kutoka 39:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Walitengeneza mabamba membamba ya dhahabu kwa kutumia nyundo, naye akayakata yakawa nyuzi nyembamba ili zifumwe pamoja na zile nyuzi za bluu, sufu ya zambarau, kitambaa cha rangi nyekundu, na kitani bora, akatarizi efodi.
-