-
Kutoka 39:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Wakaweka kwenye kifuko hicho mawe yaliyopangwa katika safu nne. Safu ya kwanza ilikuwa na zabarijadi, topazi, na zumaridi.
-