-
Kutoka 39:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Kisha wakatia ncha mbili za hizo kamba mbili katika vile vifuko viwili vya mabegani na kuzifunga ncha hizo kwenye vipande viwili vya efodi, sehemu ya mbele.
-