- 
	                        
            
            Kutoka 39:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
20 Kisha wakatengeneza pete nyingine mbili za dhahabu upande wa mbele wa efodi, chini ya vipande viwili vya mabegani vya efodi, karibu na mahali inapoungana, juu ya mshipi uliofumwa wa efodi.
 
 -