-
Kutoka 39:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Halafu wakatengeneza kwenye upindo wa joho hilo makomamanga ya nyuzi za bluu, sufu ya zambarau, na kitambaa cha rangi nyekundu; vitu vyote hivyo vilisokotwa pamoja.
-