-
Mambo ya Walawi 3:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Ataweka mkono wake juu ya kichwa cha mnyama huyo, naye atachinjwa mbele ya hema la mkutano. Kisha wana wa Haruni, makuhani, watanyunyiza damu yake pande zote za madhabahu.
-