- 
	                        
            
            Mambo ya Walawi 6:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
27 “‘Kila kitu kinachogusa nyama hiyo kitakuwa kitakatifu, na vazi la mtu yeyote likidondokewa na damu ya mnyama huyo, mtalifua vazi hilo mahali patakatifu.
 
 -