- 
	                        
            
            Mambo ya Walawi 8:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
27 Baada ya hayo akaviweka vitu hivyo vyote katika mikono ya Haruni na mikono ya wanawe na kuanza kuvitikisa kwenda mbele na nyuma vikiwa toleo la kutikiswa mbele za Yehova.
 
 -