-
Mambo ya Walawi 9:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Lakini utawaambia Waisraeli ‘Chukueni mbuzi dume kwa ajili ya dhabihu ya dhambi na ndama na mwanakondoo dume, wote wa umri wa mwaka mmoja na wasio na kasoro, kwa ajili ya dhabihu ya kuteketezwa,
-