-
Mambo ya Walawi 9:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Pia, akaosha matumbo na miguu, akaviteketeza vitu hivyo kwenye madhabahu juu ya dhabihu ya kuteketezwa ili vifuke moshi.
-