-
Mambo ya Walawi 11:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Lakini kiumbe yeyote anayeishi baharini na mtoni ambaye hana mapezi na magamba, kati ya viumbe wote wa majini wanaoishi katika makundi makubwa na viumbe wengine wote wanaoishi majini, ni chukizo kwenu.
-