-
Mambo ya Walawi 13:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 “Au ikiwa mtu ana kovu lililosababishwa na moto na kovu hilo bichi likigeuka rangi na kuwa doa lenye mchanganyiko wa rangi nyekundu na nyeupe au nyeupe tu,
-