-
Mambo ya Walawi 13:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Kuhani atamchunguza siku ya saba, na ikiwa limeenea kwenye ngozi, atatangaza kwamba mtu huyo si safi. Ni ugonjwa wa ukoma.
-