-
Mambo ya Walawi 13:49Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
49 na ikiwa vazi, ngozi, mtande, mshindio, au kitu chochote cha ngozi kina doa lenye mchanganyiko wa rangi ya manjano na kijani au doa jekundu, huo ni ugonjwa wa ukoma, kuhani anapaswa kuonyeshwa vazi hilo.
-