-
Mambo ya Walawi 13:52Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
52 Anapaswa kuliteketeza vazi hilo au mtande au mshindio wa sufu au wa kitani au kitu chochote cha ngozi kilichoathiriwa na ugonjwa huo, kwa sababu huo ni ukoma hatari. Ugonjwa huo unapaswa kuteketezwa.
-