-
Mambo ya Walawi 13:58Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
58 Lakini ikiwa vazi au mtande au mshindio au kitu chochote cha ngozi hakina doa baada ya kuoshwa, kitu hicho kinapaswa kuoshwa mara ya pili, nacho kitakuwa safi.
-