-
Mambo ya Walawi 14:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Lakini anapaswa kumchukua ndege aliye hai na kumtumbukiza pamoja na tawi la mwerezi, kitambaa cha rangi nyekundu, na tawi la hisopo ndani ya damu ya ndege aliyechinjiwa kwenye maji ya kijito.
-