-
Mambo ya Walawi 14:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 “Ni lazima mtu anayejitakasa afue mavazi yake, anyoe nywele zake zote, na kuoga kwa maji, kisha atakuwa safi. Baada ya hayo, anaweza kurudi kambini, lakini atakaa nje ya hema lake kwa siku saba.
-