-
Mambo ya Walawi 14:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Kisha kuhani atatia mafuta yaliyobaki kwenye kiganja chake na kumpaka kichwani mtu anayejitakasa ili amtolee mtu huyo dhabihu ya kufunika dhambi yake mbele za Yehova.
-