-
Mambo ya Walawi 15:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Mtu yeyote anayegusa kitu chochote alichokalia mwanamke huyo anapaswa kufua mavazi yake na kuoga kwenye maji, naye hatakuwa safi mpaka jioni.
-