-
Mambo ya Walawi 16:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 “Kisha Haruni ataingia katika hema la mkutano na kuyavua yale mavazi ya kitani aliyovaa alipoingia mahali patakatifu, naye atayaweka chini humo.
-