Mambo ya Walawi 23:32 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 32 Ni sabato ya pumziko kamili kwenu, nanyi mtajitesa+ siku ya tisa ya mwezi huo wakati wa jioni. Mtaadhimisha sabato kuanzia jioni hiyo mpaka jioni inayofuata.”
32 Ni sabato ya pumziko kamili kwenu, nanyi mtajitesa+ siku ya tisa ya mwezi huo wakati wa jioni. Mtaadhimisha sabato kuanzia jioni hiyo mpaka jioni inayofuata.”