-
Mambo ya Walawi 25:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Lakini katika mwaka wa saba nchi itakuwa na pumziko kamili la sabato, sabato ya Yehova. Hampaswi kupanda mbegu wala kupunguza matawi ya mizabibu yenu.
-