Mambo ya Walawi 26:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Nitaleta amani nchini,+ nanyi mtalala na hakuna yeyote atakayewaogopesha;+ nami nitawaondoa nchini wanyama wote wakali wa mwituni, na hakuna mtu yeyote atakayewashambulia kwa upanga katika nchi yenu. Mambo ya Walawi Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 26:6 Ufahamu, uku. 591
6 Nitaleta amani nchini,+ nanyi mtalala na hakuna yeyote atakayewaogopesha;+ nami nitawaondoa nchini wanyama wote wakali wa mwituni, na hakuna mtu yeyote atakayewashambulia kwa upanga katika nchi yenu.