-
Mambo ya Walawi 26:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 “‘Hata mambo hayo yasipowafanya mnisikilize, nitalazimika kuwaadhibu mara saba zaidi kwa sababu ya dhambi zenu.
-