-
Mambo ya Walawi 27:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Halafu kuhani atakadiria thamani yake, ataamua ikiwa ni mzuri au mbaya. Thamani itakayokadiriwa na kuhani ndiyo itakayokuwa thamani ya mnyama huyo.
-