Hesabu 5:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 “‘Kisha kuhani atamwapisha mwanamke huyo akisema: “Ikiwa hujafanya ngono na mwanamume mwingine ukiwa chini ya mamlaka ya mume wako+ wala hujapotoka au kujichafua, basi maji haya machungu yanayoleta laana yasikudhuru.
19 “‘Kisha kuhani atamwapisha mwanamke huyo akisema: “Ikiwa hujafanya ngono na mwanamume mwingine ukiwa chini ya mamlaka ya mume wako+ wala hujapotoka au kujichafua, basi maji haya machungu yanayoleta laana yasikudhuru.