-
Hesabu 6:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Ni lazima ajitenge tena kwa ajili ya Yehova na kuanza upya siku za Unadhiri wake, naye ataleta mwanakondoo dume wa mwaka mmoja kuwa dhabihu ya hatia. Hata hivyo, zile siku za awali hazitahesabiwa kwa sababu aliuchafua Unadhiri wake.
-