-
Hesabu 7:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 wakamletea Yehova matoleo yao; walileta magari sita yaliyofunikwa na pia ng’ombe dume 12, gari moja kutoka kwa kila wakuu wawili na ng’ombe dume mmoja kutoka kwa kila mkuu; wakaleta vitu hivyo mbele ya hema la ibada.
-