Hesabu 7:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 na kwa ajili ya dhabihu ya ushirika+ alileta ng’ombe wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano, na wanakondoo dume watano kila mmoja wao akiwa na umri wa mwaka mmoja. Hayo ndiyo yaliyokuwa matoleo ya Nethaneli mwana wa Zuari.
23 na kwa ajili ya dhabihu ya ushirika+ alileta ng’ombe wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano, na wanakondoo dume watano kila mmoja wao akiwa na umri wa mwaka mmoja. Hayo ndiyo yaliyokuwa matoleo ya Nethaneli mwana wa Zuari.