-
Hesabu 7:86Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
86 vile vikombe 12 vya dhahabu vilivyojaa uvumba vilikuwa na uzito wa shekeli 10 kila kikombe kulingana na shekeli ya kawaida ya mahali patakatifu, dhahabu yote iliyotengeneza vikombe hivyo ilikuwa na uzito wa shekeli 120.
-