-
Hesabu 9:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Iwe ni kwa siku mbili, mwezi mmoja, au muda mrefu zaidi, muda wote ambao wingu hilo lilikaa juu ya hema la ibada, Waisraeli waliendelea kupiga kambi nao hawakuondoka. Lakini lilipoinuka waliondoka.
-