-
Hesabu 15:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Au mtatoa kondoo dume pamoja na sehemu mbili za kumi za kipimo cha efa moja ya unga laini uliochanganywa na sehemu ya tatu ya hini ya mafuta kwa ajili ya toleo la nafaka.
-