-
Hesabu 16:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Basi kila mmoja wao akachukua chetezo chake, akaweka moto na uvumba juu yake na kusimama kwenye mlango wa hema la mkutano pamoja na Musa na Haruni.
-