-
Hesabu 16:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Musa akawaambia hivi watu wote: “Tafadhali, ondokeni karibu na mahema ya watu hawa waovu wala msiguse kitu chochote ambacho ni mali yao, msije mkafagiliwa mbali kwa sababu ya dhambi yao yote.”
-