-
Hesabu 16:39Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
39 Basi kuhani Eleazari akachukua vyetezo vya shaba vilivyoletwa na wale wanaume waliokuwa wameteketezwa, akavipiga na kuvinyoosha ili vifunike madhabahu,
-