- 
	                        
            
            Hesabu 17:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
9 Kisha Musa akazichukua fimbo zote kutoka mbele za Yehova na kuzileta mbele ya Waisraeli wote. Wakazitazama na kila mkuu akachukua fimbo yake.
 
 -