-
Hesabu 18:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Kwa njia hiyo mtamtolea Yehova mchango kutoka katika sehemu zote za kumi mnazopokea kutoka kwa Waisraeli, na kutoka kwa sehemu hizo mnapaswa kumtolea Yehova mchango na kumpa kuhani Haruni.
-